Tuesday, September 24, 2013

Watoto baada ya kumaliza michezo


By on 5:41 AM

Watoto baada ya kumaliza michezo yao,kila mtoto anachukua kilicho chake na kwenda kwao. anabaki mtoto mmoja akilia kwa majonzi, ikabidi aulizwe na majibu yalikuwa hivi (nimeibiwa viatu vyangu), akaambiwa amuachie mungu kwani yatakwisha. akajibu(siwezi kumuachia mungu kwani zilikuwa ndogo hivyo yeye haviwezi kumtosha

-----------------------------------------------------------------------------------


About Syed Faizan Ali

Faizan is a 17 year old young guy who is blessed with the art of Blogging,He love to Blog day in and day out,He is a Website Designer and a Certified Graphics Designer.

0 comments:

Post a Comment